ZEC yafafanua wagombea waliosusia uchaguzi
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imemtangaza Dk Ali Mohamed shein kuwa Rais mteule wa Zanzibar, baada ya kushinda kwa kura 299, 982 ambayo ni sawa na asilimia 91.4 ya kura zote halali zilizopigwa, katika uchaguzi mkuu wa marejeo uliofanyika visiwani hapa siku ya Jumapili.
Tue Mar 22 18:12:22 EAT 2016