Dar es Salaam. Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kuondoka nchini Machi 20 kwenda Doha, Qatar kuweka kambi ya mwisho kabla ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zilizopangwa kuanza Aprili 14 hadi 28, Dar es Salaam.

Akizungumza jana, Kocha wa Serengeti Boys, Oscar Mirambo alisema kambi hiyo itamsaidia kuwapa makali wachezaji wake kabla ya kuanza fainali hizo.

Hivi karibuni Serengeti Boys ilishiriki mashindano maalumu yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa Assist) yaliyofanyika mjini, Antalya, Uturuki na kucheza mechi tatu.

Timu hiyo ilianza kwa kufungwa bao 1-0 na Guinea kabla ya kupata ushindi wa 3-2 dhidi ya Australia na baadaye ilipoteza kwa kuchapwa mabao 5-0 ilipocheza na Uturuki.

Pamoja na matokeo hayo, mashindano hayo yaliwapa fursa wachezaji wa Serengeti Boys kujinoa na kurekebishmat/xhtml/-/12gm56wz/-/jquery-1120min.js">

Pamoja na matokeo hayo, mashindano hayo yaliwapa fursa wachezaji wa Serengeti Boys kujinoa na kurekebish