iPhone X ndiyo simu iliyouzwa zaidi kwa mwaka huu, lakini katika rekodi za dunia zipo simu ambazo zimewahi kununuliwa kwa wingi zaidi.

Hii hapa chini ni orodha ya simu zilizowahi kununuliwa kwa wingi zaidi:

·       Nokia 1208- Nakala milioni 100

·       Nokia 3010- Nakala milioni 126

·       Motorola RAZR- Nakala milioni 130

·       Nokia 1600- Nakala 135

·       Nokia  2600 - Nakala milioni 135

·       Samsung EII00- Nakala milioni 150

·       Nokia 6600-  Nakala milioni 150

·       Nokia 5230 – Nakala milioni 150

·       Nokia 3210- Nakala milioni 150

·       Nokia 1110- Nakala milioni 250