In Summary
  • Hatua hiyo inatokana na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kudai mshahara wake umezuiwa na Bunge kwa muda, huku akisisitiza kuwa yeye bado yupo kwenye matibabu nje ya nchi
Dar es Salaam. Mshahara na posho za kibunge za Tundu Lissu zimeendeleza vuta nikuvute kati ya mbunge huyo wa Singida Mashariki (Chadema) na uongozi wa Bunge.

Mvutano huo umeibuka baada ya Lissu kudai kuwa stahiki zake hizo za kibunge zimesitishwa na Spika Job Ndugai pamoja na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai tangu Januari huku akiwataka kuzirejesha pasi na masharti yoyote.

Pia, Lissu amewaagiza mawakili wake kuanza mchakato wa kufungua kesi yaync_config.domain = 'mobile.mwananchi.co.tz'; // DOMAIN _sf_async_config.flickerControl = false; _sf_async_config.useCanonical = false; _sf_async_config.useCanonicalDomain = false; /** CONFIGURATION END **/ var _sf_startpt = (new Date()).getTime();

Pia, Lissu amewaagiza mawakili wake kuanza mchakato wa kufungua kesi ya