In Summary

HESLB ilianza kazi rasmi mwaka 2005 ikiwa na jukumu la kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa Watanzania wahitaji na wenye sifa.

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) mwezi ujao itaanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/19.

Upokeaji maombi utaanza Mei, 2018 baada ya kukamilisha uboreshaji wa mfumo wa uombaji kwa njia ya mtandao. 

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa aliyoitoa leo Jumanne, Aprili 17, 2018, amesema maombi yote yatapokewa kwa njia ya mtandao (www.olas.heslb.go.tz) ambao umeboreshwa na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC-UDSM).

Badru amesema pia watatangaza mwongozo wa kina utakaotoa utaratibu wa kuwasilisha maombi; tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi; sifa na vigezo vitakavyotumika katika kuchambua na kutoa mikopo kwa mwaka ujao wa masomo unaotarajiwa kuanza Oktoba, 2018. 

“Tunawasihi wote wanaotarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kusoma kwa makini mwongozo tutakaoutoa kwa vyombo vya habari na tovuti mwanzoni mwa Mei, 2018 na kuuzingatia,” amesema Badru.

Amesema mwaka jana zaidi ya waombaji 10,027 kati ya waombaji zaidi ya 61,000 hawakuam/chartbeat_mab.js">

Amesema mwaka jana zaidi ya waombaji 10,027 kati ya waombaji zaidi ya 61,000 hawakuam