In Summary

Hatua hiyo ni baada ya kila wizara kuwakilisha makadirio ya matumizi na mapato huku ikiibuka mijadala mizito ambayo wakati fulani ilisababisha mvutano kwa wabunge nchini humo.

Kenya.Waziri wa Fedha wa Kenya Henry Rotich anatarajiwa kusoma bajeti kuu jioni ambayo inasubiriwa kwa hamu nchini humo.

Hatua hiyo ni baada ya kila wizara kuwakilisha makadirio ya matumizi na mapato huku ikiibuka mijadala mizito ambayo wakati fulani ilisababisha mvutano kwa wabunge nchini humo.

Bajeti hiyo inatarajiwa kusomwa saa tisa jioni  na Waziri wa Fedha  Henry Rotich ambayo kwa ujumla itakuwa ni 3trilioni kwa mwaka wa fedha 2018/19.