In Summary

Ibara ya 102(b) imeweka ukomo umri wa rais kuwa miaka 75 na muswada wa Mbunge Magyezi unaonekana kuwa ni hatua ya kumhalalisha Rais Yoweri Museveni kuwania kipindi kingine cha urais.